Wednesday, March 7, 2012

Mdau akipitia nyuzzz

Kamera ya Globu ya Jamii leo imemsada mdau huyu ambaye alikuwa yuko makini kweli kweli kupitia nyuzz mbele ya banda la kuuzia magazeti jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment