![]() |
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano hayo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, akisalimiana na mwamuzi wa mpambano huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau.Waziri Kabaka, akizungumza na waachezaji katika ufunguzi huo, Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau na wa pili ni Mwenyekiti wa NSSF.Waziri Kabaka, akipiga mpira katikati ya Uwanja wa Sigara (TCC), Chang'ombe, ili kuyafungua mashindano hayo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
No comments:
Post a Comment