Thursday, March 8, 2012

Maadhimisho ya Siku wa Wanawake Duniani jijini Dar leo

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mh. Sophia Simba (mbele mwenye kofia) akiongoza maandano ya Wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Rais IKULU.Maandamano haya yaliishia kwenye viwanja vya mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo yalipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick.

No comments:

Post a Comment