Wednesday, March 14, 2012

lIBENEKE LA VIJANA

Mjomba Michuzi kwanza tunakupa salamu kutoka Tayoa na tunashukuru kwa kazi nzuri unayofanya. 

Siye tunalibeneke letu la vijana na mtu yeyote anayetafuta kazi anaweza akatutembelea katika tovuti yetu http://www.vijanatz.com/tz/ hapo kuna portal inavitu vingi vingi na unaweza ukaenda tuu moja kwa moja kwenye vijana jobs au http://www.vijanajobs.com  na utakuta huko kazi nyingi nyingi tunaziweka kila tunapozipata. 

Pia unaweza ukatufwata kwenye twitter @vijanajobs ikitokea kazi yeyote mpya kwenye tovuti na wewe utakuwa update. Kwa wale wenye kazi wanataka kutafuta watu wanaweza waka weka pia kwenye website yetu au wakatutumia kwenye email: info@vijanajobs.com sisi tutaweka. 

No comments:

Post a Comment