Tuesday, March 13, 2012

kampuni ya SBL kudhamini maadhimisho ya wiki ya maji iringa

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)  kuhusiana na kampuni hiyo kudhamini maadhimisho ya 24 ya wiki ya maji ambayo kitaifa yatafanyika mjini Iringa kwa kutoa shilingi milioni 300 ambapo milioni 100 zitatumika kwenye sherehe hizo na milioni 200 zitatumika katika miradi ya maji na usafi katika mikoa ya Mwanza, Kilimanjaro, Dar es Salaam na Iringa. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi huduma za maji vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maandalizi  Mhandisi Amani Mafuru 

No comments:

Post a Comment