JK akutana na mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ETISALAT ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya ETISALAT Bwana Ahmed Mokhles Ali El- Din ikulu jijini Dar e Salaam. Hii ni kampuni mama ya ZANTEL Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment