Thursday, March 8, 2012

BALOZI WA TANZANIA URUSI MHE. DR. CAPT. JAKA M. MWAMBI KATIKA UCHAGUZI WA RAISI NCHINI URUSI

Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Dr. Jaka Mwambi (kushoto), akiangalia zoezi la upigaji kura wa Rais wa Urusi unavyoendelea katika moja ya vituo vya kupigia kura nje kidogo ya jiji la Moscow.
Mabalozi na maofisa kutoka Ofisi za Balozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao Moscow wakiwa mbele ya kisanduku cha kupigia kura.
Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Dr. Jaka Mwambi (pili kulia),  akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wapiga kura kuhusu zoezi zima la upigaji kuwa ulivyokuwa ukiendelea.
Bango la Uchaguzi linalosomeka "Uchaguzi wa Rais Russia"

No comments:

Post a Comment