Balozi wa China awasilisha hati zake ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa China nchini Tanzania Mhe.Lv Youqing katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment