Jaji Mkuu wa mashindano ya Nyama Choma, Super Chef Douglas, akitumia kipima joto kupima jiko huku majaji wenzie wakisubiri kutoa maksi
Jiko la nyama choma likipimwa joto lake
Mpiga picha wa ITV Papaa Kaniki denda linakaribia kumdondoka anapopiga picha ndizi za Mbeya
Utaalamu wa kuchomam nyama si mchezo.
No comments:
Post a Comment