Thursday, March 22, 2012
MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI JAJI MSATAAFU JUBUVA AONGELEA UCHAGUZI WA JIMBO DOGO LA ARUMERU MASHARIKI
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Msataafu Damian Lubuva(katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya Tume ya Uchaguzi jijini Dar es Salaam kuhusu masuala mbalimbali ya Uchaguzi Mdogo unaotegemea kufanyika April 1,2012 Jimbo la Arumeru Mashariki ambalo amesema litatumika daftari liliotumika katika Uchaguzi wa mwaka 2010.ambalo limefanyiwa marekebisho na kutumika ktika Uchaguzi mdogo utakaowashirikisha jumla ya wapiga kura 127,455.Awali daftari la wapiga kura liliotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010 lilikuwa na wapigakura 127,429. na baada ya marekebisho litakuwa na nyongeza ya wapiga kura 26 Makamu Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mkuu Msataafu wa Zanzibar Mh Hamid Mahmoud Hamid na kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Julius Mallaba, (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment