Saturday, March 10, 2012

diwani kata ya gongo la mboto atembelea wananchi wake


Mh Jerry Silaa ambaye ni Meya wa Ilala na Diwani wa Kata ya GongolaMboto aanza ziara kwenye kata yake, hapa akiongea na wananchi wa Ulongoni.

No comments:

Post a Comment