Thursday, March 15, 2012

Zitto akutana na Rais Mstaafu wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda

Mh Zitto Kabwe alipokutana na Rais mstaafu wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda ofisini kwake jijini Lusaka,Zambia. Kitambaa chake cheupe hakimtoki Mzee wetu huyu mtanashati

Kicheko baada ya kumkumbusha uamuzi wao na Mwalimu Nyerere kuhusu Biafra. Heshima kwa Waasisi wa bara la Afrika

No comments:

Post a Comment