Friday, March 16, 2012

WANAFUNZI WA UDOM WAFANYA ZIARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI ILIYOPO DODOMA MJINI NA KUKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA USAFI LEO

Mmoja wa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akishusha Baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi wakati wanafunzi wa UDOM walipowasili Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo Manispaa ya Dodoma Mjini mchana wa leo.

Wanafunzi wa Klabu ya Mazingira ya Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo kwenye manispaa ya Dodoma wakiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) waliotembelea Shule hiyo Mchana wa leo.
  Kwa habari na picha zaidi tembelea libeneke la Josephat Lukaza




No comments:

Post a Comment