Wednesday, March 14, 2012

TBC yaichapa Free Media bao 8-0 kombe la NSSF leo

Mshambuliaji wa Free Media, Jimmy Ambrose (kulia) akichuana na beki wa TBC, Adam Ilomo katika mchuano wao wa Kombe la NSSF uwanja wa TCC Chang'ombe leo. TBC ilishinda bao 8-0

No comments:

Post a Comment