Monday, March 12, 2012

pamvu yafungwa ya bintiye mdau midladjy maez jijini Dar

 Bwana Harusi Mtarajiwa Jumanne Muhamed Hussein akimvisha pete rasmi  ya uchumba Bi Harusi Mtarajiwa.  Mambo haya hyalikuwa jana  Machi 11, 2012 saa 10 jioni, ili[pofungwa  pamvu ya  Naseem binti Midladjy mchumba akiwa ni mkwe Mtarajiwa Jumanne bin Muhamed Hussein wa Mwembechai Dar. Pamvu ilifungwa nyumbani kwa Baba wa Bibi Harusi Mtarajiwa TRC Flats Mtaa wa  Ohio , Kata ya Kivukoni , Ilala Dar es Salaam. Makubaliano aqdi inatarajiwa kufanyika  Mei 11, 2012 mwaka huu
 Baada ya dua kusomwa Mshenga alikaribishwa na kulipa mahari pamoja na ada nyingine zinazoendana na mila na desturi za wakazi wa mkoa wa Pwani

 Picha za kumbukumbu za Bwana Harusi Mtarajiwa na wakwe zake
 Bi harusi mtarajiwa na rafikize
Picha za kumbukumbu za Bwana Harusi Mtarajiwa na wakwe zake. Kushoto ndiye Ba' mzaa chema Midladjy Maez

No comments:

Post a Comment