Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete (mwenye traki suti) akipokea maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya na Usatawi wa Jamii,Dkt. Hadji Mponda kabla ya kuanza matembezi ya kuadhimisha siku ya utepe mweupe Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Mwenekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete (alievaa traki suti) pamoja na watendaji wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na taasisi mbalimbali zinazoshughulikia mpango wa uzazi salama na afya za watoto wakishiriki kwenye matembezi ya kuadhimisha utepe mweupe nchini.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Sadick.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete akikata utepe kuzindua kitabu cha uzazi salama leo jijini Dsm wakati wa maadhimisho ya suku ya utepe mweupe Tanzania.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Mecky Sadick.
No comments:
Post a Comment