Thursday, March 15, 2012

Bado Tunasafari Ndefu ya kulifanya Jiji Letu Kuwa safi

 Pamoja na Kwamba kuna kibao kinachohamasisha usafi katika eneo hilo,lakini ndio kwanza uchafu umejaa kana kwamba hicho kibao kimewekwa kwa utembo tu.
Kama haitoshi na hapa pia kuna kibao kingine tena uzuri wake hiki kimeantikwa lugha yetu ya kimatumbi,lakini bado mwendo ni ule ule.kwakweli bado tuna safari ndefu sana ya kutaka kulifanya jiji letu kuwa safi.hapa ni Msasani njia panda ya kuelekea CCBRT.

No comments:

Post a Comment