MAREHEMU MZEE PETER LUGALABAMU
Kwamujibu wa Mtoto wa marehemu Kanali Adolf Mutta ni kwamba watu wataanza kupata chakula ifikapo saa tano na nusu hadi saa sita na kufuatiwa na misa takatifu ya kumuombea marehemu saa sita nanusu hadi saa nane na baada ya misa saa nane hadi saa tisa itakuwa ni nafasi ya watu kuaga mwili wa marehemu na saa kumi safari itaanza kuelekea karagwe Bukoba na siku ya jumatano itakuwa nisiku ya mazishi ambapo ratiba itaanza saa saba mchana hadi saa kumi alasili,hivyo tunaomba tushirikiane katika safari ya milele ya baba yetu mpendwa Mzee Rugarabamu
BWANA AMETOA BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment