Mama Sarah Samson (Mama John) wa mbagala Charambe kwa Mbiku Mtaa wa Machinjioni kwa Maharage anayefanya kazi SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA - MAKAO MAKUU anamtafuta kijana wake aliyepotea njia Ndugu Jofrey William Orondo (PICHANI JUU) . Kijana huyu ni mgeni hapa Dar es salaam akitokea UTEGI RORYA - MUSOMA.
Kijana huyu alipotelea maeneo ya Kwambiku tangu siku ya Ijumaa 9/03/2012.
Kwa yeyote atakayemuona kijana huyu tunaomba atoe taarifa kituo cha polisi Zansa,Charambe,Maturubai au Maji Matitu au atoe taarifa kwa namba zifuatazo:
PICHA YAKE IMEAMBATANISHWA HAPO JUU.
No comments:
Post a Comment