Wednesday, March 7, 2012

Mgomo wa Madaktari waanza tena leo

Baadhi ya wagonjwa waliopo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili wakisubiri huduma katika Kitengo cha Mifupa (MOI), huku wakiwa hawajui hatma yao baada ya madaktari kuanza mgomo wao kwa mara nyingine tena leo. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment